JILINDE NA WAHALIFU WENYE MIKAKATI - Majambazi na Magaidi By Godwin Chilewa
Sale!

JILINDE NA WAHALIFU WENYE MIKAKATI – Majambazi na Magaidi By Godwin Chilewa

Original price was: $12.95.Current price is: $3.88.

SKU: 9798218018801 Category:

Description

Chilewa, Godwin: – Pastor Godwin Chilewa amehitimu shahada ya saikolojia (Bsc Psychology) katika chuo kikuu cha Houston mjini kati (University of Houston Downtown), na shahada ya uzamili (MBA in Project Management) katika chuo kikuu cha DeVry – Houston. Alisimikwa kuwa mchungaji tarehe 14 Mei 2016 katika ibada iliyofanyika kwenye kanisa la Holly Covenant – United Methodist Church, Katy Texas. Kabla ya kuitwa kumtumikia Mungu Pastor Godwin alikuwa afisa mwandamizi wa idara ya Usalama wa Taifa. Kazi aliyoifanya kwa miaka ishirini. Kitabu chake kipya kiitwacho Shuhuda za Jasusi kitatoka hivi karibuni. Unaweza kumpata kupitia tovuti yake www.veritasgospel.org

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “JILINDE NA WAHALIFU WENYE MIKAKATI – Majambazi na Magaidi By Godwin Chilewa”

Your email address will not be published. Required fields are marked *